Chicago
London
Dar Es Salaam
 
 

News

20 Nov, 2014 23:07:13

KUNA kila dalili za Baraza la Mawaziri la Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuvunjika tena baada ya ripoti ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya sh. bilioni 200, kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu ya T


News By Staff Reporter


20 Nov, 2014 01:12:19

Dodoma - Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo inaanza kuwahoji watu mbalimbali waliohusika katika uchunguzi au tuhuma za kashfa ya IPTL kuhusu uchotaji wa Sh306 bilioni katika akaunti ya Escrow iliyoko katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kamishna wa Madini katika W


News By Staff Reporter


07 Nov, 2014 00:36:36

Dar es Salaam - Mwanamuziki wa kike, Vanessa Mdee maarufu kwa jina la Vee Money, amewataka wasanii kujituma katika kazi na kuachana na fikra hasi anazoamini ni kikwazo kwa walio wengi.

 

V


News By Staff Reporter


07 Nov, 2014 00:30:49

Unapozungumzia hifadhi 16 za taifa, Mbuga ya Saadani siyo maarufu masikioni mwa Watanzania wengi.

Pengine hii inatokana na kupandishwa hadhi miaka ya hivi karibuni. Pia inawezekana ni kwa sababu ya kukosa matang


News By Staff Reporter


06 Nov, 2014 23:54:15

Dar es Salaam - Ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana, imezua kizaazaa na kuitia ila sifa ya Tanzania kimataifa, baada ya maofisa waliokuwa wameambatana naye kuhusishwa na biashara haramu ya meno ya tembo.

Wanaume nao husema kama duniani wasingeumbwa wanawake, mais


News By Staff Reporter


06 Sep, 2014 15:52:29

Musoma. Watu 39 wamefariki dunia huku 79 wakijeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Sabasaba, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara.

Miongoni mwa waliofariki dunia yumo Mratibu wa ugonjwa wa Ukimwi w


News By Staff Reporter


06 Sep, 2014 15:42:13

Huenda akizungumza unaweza usimwelewe, lakini Diamond Platnumz aliamua kufikiri nje ya boksi na kufanikiwa kufanya kile alichokuwa akikikusudia, leo hii tayari makumi ya wasanii wameanza kutembea katika nyayo zake.

 


News By Staff Reporter


03 Sep, 2014 20:53:36

Dar es Salaam. Malkia wa muziki wa R&B, Lady Jay Dee amedai kuwa maadui zake wamebuni njia mpya ya kumwangusha, baada ya zile za awali kutofanikiwa.

 

Katika waraka mrefu aliouandika katika mtanda


News By Staff Reporter


03 Sep, 2014 03:25:05

Dar es Salaam. Mwanamuziki Diamond Platinum juzi alizua kizaazaa baada ya vurugu kubwa kutokea nchini Ujerumani na kuvuruga tamasha ambalo alitakiwa kutumbuiza, lakini meneja wake amesema tukio hilo litasaidia kumtangaza zaidi.

 

Jana ka


News By Staff Reporter


28 Jul, 2014 23:42:15

IDARA ya Uhamiaji imekumbwa na kashfa nyingine ya kuajiri watoto na ndugu wa vigogo wa idara hiyo. Hayo yalibainika baada ya idara hiyo kutoa matangazo katika vyombo mbalimbali vya habari yaliyoonyesha majina ya waliofaulu usaili wa kutakiwa kujaza nafasi za konstebo na koplo wa Uhamiaji.

&


News By Staff Reporter


24 Jul, 2014 21:33:57

Baada ya kimya kirefu nyota wa muziki wa Bongo Flava nchini Tanzania Ally Kiba au kama anavyojulikana na wapenzi wake wengi kwa jina la la kimuziki la Alikiba amtoa nyimbo mbili kali kwa mpigo.

Inaweza kuonekana Alikiba anafuata nyayo za Diamond ambaye nae siku chache zilizopita alitoa v


News By Staff Reporter


23 Jul, 2014 23:55:42

BAADA ya kufanya vizuri na video ya ngoma yake ya ‘Mdogo mdogo’, nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, ameamua kutengeneza nyingine.

 

Video hiyo iliyosambazwa mapema mwezi huu, inaendelea kujizolea umaarufu kutokana na


News By Staff Reporter


23 Jul, 2014 22:53:14

STAA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Alikiba amekanusha kwamba ana ugomvi na nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ kama ilivyokuwa ikifahamika na wadau wengi wa muziki huo.

 

Akizungumza katika kipindi cha Sporah Show kinachorushwa na Clouds TV, alis


News By Staff Reporter


21 Jul, 2014 20:50:03

Dar/Zanzibar - Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka katika chama chake hawatashiriki katika Bunge hilo linalotarajiwa kuendelea mwezi ujao.

 


News By Staff Reporter


20 Jul, 2014 22:31:26

Munira baada ya kuamrishwa na ‘bosi’ wake kufanya kazi hiyo, alielekezwa na wenzake kwenda eneo la soko liitwalo Chambu Chambu ambako wanawake Watanzania wanafahamika kuwa maarufu kwa biashara ya ukahaba.
 
 
 
Copyright © 2011 Bongo Radio. Subsidiary of Bongo Media Group. All Rights Reserved
Valid XHTML 1.0 Transitional